Kutembelea Wodi la wakina mama waliojifungua

Kutembelea Wodi la wakina mama waliojifungua

  • 2023-04-10
  • 10:00
  • Hospital Visit
Wodi yetu ina uwezo wa kulaza watoto wachanga 130 na wazazi wao 130, hivyo jumla yao ni 260, lakini hali huwa tofauti hasa inapofika kipindi cha Januari hadi Juni, kila mwaka idadi ya wazazi tunaopokea huongezeka mara dufu.