Kambi ya matibabu bure kwa magonjwa yasiyo ambukiza

Kambi ya matibabu bure kwa magonjwa yasiyo ambukiza

  • 2023-11-05
  • 09:00
  • Gezaulole Kigamboni - Uwanja wa mnada wa zamani
Life Care Foundation kwa ushirikiano na mashirika mengine (Hitech Sai - healthcare centre, MedINCREDI, Diamond Opticals Limited, Voice of Women foundation and Arthshakt foundation) tumeendesha zoezi la kutoa huduma ya afya zikiwemo vipimo pamoja na ushauri kwa wale waliokuta na matatizo ya afya kwa wananchi wa gezaulole. Huduma hii imetolewa bure kwa kila mwanchi aliyefika katika viwanja vya mnada wa zamani.